Waliochangia na shukrani
Manukuu: Evans-Lacko, Sara, Farina, N., Ferri, Cleusa, Franzon, Ana Carolina, Godoy, Carolina, Hurzuk, S., Jacobs, R., Mata, F., Mateus, Elaine, Musyimi, C., Muyela, Levi, Oliveira, Deborah, Ong, E., López-Ortega, Mariana, Surawattananon, N. and Weidner, W. (2022) Don’t forget I’m human –reducing dementia stigma. The STRiDE Anti-Stigma Toolkit. London School of Economics and Political Science
Shukrani kwa Mwongozo wa STRiDEMwanzo, tungependa kushukuru watu wanaoishi na ugonjwa wa dementia na watunzaji wao ambao walishiriki hadithi zao kwa ujasiri ili kuupa uhai mwongozo huu: Andre na Maryna, Marinda Breedt (Lötter), Celinha Oliveira, William Buntoro, Joy, Rose Matsetela, Emily Ong ( mjumbe wa bodi ya ADI, Kiongozi wa mradi wa DAI Environmental Design SIG, Mwelekezi wa pamoja wa Dementia Singapore Voices for Hope ), Pia tungependa kushukuru wanakikundi wa STRiDE kwa bidii yao na kujitolea kwao katika kubuni mwongozo huu kwa kukusanya hadithi kutoka kwa watu wanaoishi na ugonjwa wa dementia katika maeneo yao, kufanya kazi pamoja na jamii zao kubuni mipango ya kupinga unyanyapaa na kutetea mabadiliko: Adelina Comas-Herrera, Nicolas Farina, Cleusa Ferri, Ana Carolina Franzon, Ishtar Govia, Saadiya Hurzuk, Roxanne Jacobs, Fabiana Da Mata, Elaine Mateus, Christine Musyimi, Elizabeth Mutunga, Levi Muyela, David M Ndetei, Deborah Oliveira, Mariana López Ortega, Meera Pattabiraman, Tara Puspitarini Sani, Narendhar Ramasamy, Janelle Robinson, Imelda Theresia, Marguerite Schneider, Petra du Toit na Wendy Weidner. Shukran kwa Martin Knapp na Anji Mehta kwa msaada wao jumla kwa mradi wa STRiDE.
Shukran kwa Ben Schlaepfer kwa msaada wa kiufundi na kuwa makini katika kutengeneza na kubuni mwongozo wa mtandao. Asante kwa James Rattee kwa kuunda filamu fupi ya mwongozo na kwa ujuzi na msaada katika kutengeneza filamu za maeneo za kutumika katika mawasiliano ya kijamii katika mtandao.
Shukran za dhati kwa Sue Baker OBE, Changing Minds Gobally kwa msaada, ushauri, maoni na msukumo wa kuhakikisha kuwa mwongozo huu unaongeza ufahamu tulionao kuhusu jinsi ya kuleta mabadiliko ya jamii yenye maana.
Asante kwa Mpango wa Time to Change Global ambao ulitoa motisha kwa mwongozo huu, mpango wa Time to Change programme in England and Mind.
Shukran kwa Alzheimer's Disease International kwa msaada wao katika kubuni huu mwongozo.
Kazi hii ilifadhiliwa na United Kingdom Research and Innovation Global Challenges Research Fund (nambari ya ruzuku ES/P010938/1). Mfadhili hakuhusika vyovyote vile katika kubuni mwongozo huu.