Kutotendewa haki katika matibabu (1)
Katika kiwango cha miundomsingi, unyanyapaa unaweza pelekea idadi ya chini ya huduma za afya na kijamii na fedha au kupeanwa kwa kiwango cha chini cha matibabu kwa dementia ikilinganishwa na magonjwa mengine. Pia inaweza kusababisha kiwango cha chini cha matibabu na msaada, kunyimwa kwa huduma, au kutotendewa haki au hata kunyanyaswa. Watu wanaoishi na ugonjwa wa dementia na watunzaji wao hivyo wanaweza kuhepa kutafuta matibabu kutokana na unyanyapaa.