Usisahau mimi ni binadamu
Kukomesha Unyanyapaa wa Dementia
Mwongozo huu unalenga unyanyapaa unaopitiwa na watu walio na ugonjwa wa dementia. Unahusisha hadithi za watu halisi, Muhtasari wa mipango kutokana na ushahidi na zana za vitendo.
Utangulizi wa mwongozo wa STRiDE
Kupitia unyanyapaa na kutengwa kutoka nchi tofauti za STRiDE
Mifano ya kushinda unyanyapaa katika nchi tofauti za STRiDE
Kesi ya utafiti ya kupunguza unyanyapaa Kenya
Kesi ya utafiti kuhusu kupunguza unyanyapaa nchini Brazil
Kesi ya utafiti kuhusu ufahamu wa ugonjwa wa dementia na mitazamo nchini Indonesia
Kufanya kazi na watu wanaoishi na ugonjwa
Mawasiliano ya kijamii na mawasiliano pepe ya kijamii
Kuchagua hadhira lengwa
Ripoti za utafiti na raslimali za ziada za utetezi dhidi ya unyanyapaa na ugonjwa wa dementia
Waliochangia na shukrani
Asante kwa kusoma
Usisahau Mimi Ni Binadamu